RAIS DKT.MWINYI AMEKABIDHI GARI NA MILIONI 5 KWA WASHINDI WA QURAN .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Sekta binafsi Zanzibar kuwalipa mishahara watumishi wao wa sekta hizo leo na kesho kabla ya Sikukuu ya Idd. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Aprili 2023 katika fainali za mashindano ya Quran kwa njia ya Tar-til yalioandaliwa na Shirika la utangazaji Zanzibar